Thursday, August 4, 2016

TIGO YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MASOMO YA SAYANSI KWA SEKONDARI YA CHATO



Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato  vyenye thamani ya Sh 30 Milioni,
 kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado Selema
 
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakiwa katika picha pamoja na vifaa vya masomo ya sayansi vilivyotolewa na  kamouni ya simu ya tigo
Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato  vyenye thamani ya Sh 30 Milioni, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado Selema
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakifuatilia matukio wakati wa kupokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia) vyenye thamani ya Sh 30 Milioni kutoka kampuni ya Tigo.

No comments: