MOHAMED MTOI MWAKA MMOJA SASA TANGU UPUMZIKE

Ni mwaka sasa umepita tangu umetangulia mbele za haki 12/9/2015 Mohamed Mtoi aliekuwa mgombea ubunge CHADEMA  wa jimbo la Lushoto kwa ajali ya Gari msimu ule wa Kampeni za mwaka jana.

Mtandao wa Habari24 Blog Unakukumbuka kwa sala na watanzania wote wanazidi kukuombea kwa mwenyezi mungu ulale mahali pema peponi milele.
Pumzika kwa amani kamanda

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.