.

MSIMU WA TIGO FIESTA WANOGESHWA NA BURUDANI YA KISHINDO MKOANI TABORAMaua Sama na Nandy wakiimba kwa pamoja katika usiku wa Tigo Fiesta mkoani Tabora mwishoni wa wiki hii
Msanii wa Bongo fleva AMADAI akiimba kwa hisia katika jukwaa  la Tigo Fiesta Mkoani Tabora 
JUX na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja "NAKUCHANA" katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ally Hassan  mkoani Tabora
Mkali wa HipHop Niki wa pili akishambulia jukwaaa la Tigo Fiesta mkoani Tabora mapema wiki hii katika uwanja wa Ally Hassan
Nuh Mziwanda akiimba kwa hisia nyimbo yake ya Jike shupa katika jukwaa la  Tigo Fiesta mkoani Tabora mapema ijumaa hii 

Young killer akiwakilisha vyema wana HIPHOP katika jukwaa la TIGO FIESTA mkoani Tabora
Msanii wa bongo fleva Shilole,akitumbuizakwenye tamasha la Tigo fiesta Mkoani Tabora katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi(usiku wa ijumaa)
Mashabiki na wapenzi wa burudani  wakiitikia kwa shangwe kibwagizo cha "IMOOOOOOOO " katika usiku wa TIGO FIESTA mkoani Tabora
Umati wa mashabiki waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta mkoani Tabora katika uwanja wa Ally Hassan  ijumaa hii

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.