SALAMU ZA IDD KUTOKA KWA EDWARD LOWASA


Napenda kuchukua nafasi hii kuwapa mkono wa Eid waislam wote hapa nchini.Hii ni siku muhimu sana kwa waislam na kwetu sote kwani inatukumbusha umuhimu wa upendo na kuvumiliana.

Nawaombea wale waliojalaaliwa kwenda hijja kutimiza moja ya nguzo za uislam waitimize na kurudi salama.
EID Mubarak!

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.