.

TIGO FIESTA YAACHA HISTORIA KWA WAKAZI WA SHINYANGA

Benpol na Jux wakiimba kwa pamoja wimbo wa NAKUCHANA katika jukwaa la Tigo Fiesta viwanja vya Kambarage Mjini Shinyanga
Chemical akionesha umahiri wake na kuburudisha umati wa wakazi wa Shinyanga waliohudhuria Tamasha la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki iliyopita.
Umati wa wakazi wa Shinyanga wakitoa SHANGWE ya IMOOOO katika Tamasha la Tigo Fiesta liliofanyika katika viwanja ya Kambarage mwishoni wa wiki iliyopita
Jay Moe akiwarusha wakazi wa Shinyanga katika Tamasha la Tigo Fiesta mwishoni wa wiki hii
Billnas na Linah wakiimba kwa pamoja katika jukwaaa la Tigo Fiesta
Msanii wa Bongo Fleva Linah akiwaburudisha wakazi wa Shinyanga katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika Uwanja wa Nje wa Kambarage Mjini Shinyanga mwishoni wa wiki hii.
Madee akilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta huku mashabiki wakiishangilia wakati wa Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika mwishoni wa wiki hii Mjini Shinyanga
Niki wa Pili akionesha umahiri wa mashairi katika jukwaa la Tigo Fiesta mwishoni wa wiki hii mjini Shinyanga
Msanii nguli wa Bongo Fleva na mkazi wa Shinyanga Noorah akitumbuiza katika Jukwaa la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki iliyopita .

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.