Tuesday, October 25, 2016

EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, inataka ilipwe fidia ya shilingi milioni 200


picha-ya-pjMtangazaji huyo aliondoka EFM mwanzoni mwa mwezi huu na kurejea kwenye kituo chake cha zamani, Clouds FM, alichoondoka pamoja na mwenzake Gerald Hando. EFM imefungua mashtaka katika mahakama ya kazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kukiuka mkataba wa kazi wa kituo hicho.

Kufuatia mashtaka hayo, EFM inadai fidia ya shilingi milioni 200 kutoka kwa mtangazaji huyo
efm-radio-page-001

No comments: