Haya ndiyo yaliyojiri kwenye soko la hisa wiki hii kuisha Alhamisi tarehe 13 Oktoba 2016.

Mauzo ya Soko
Mauzo yameshuka kwa 91% kutoka TZS 32.5 Bilioni kufikia TZS 3 Billion.
Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimeshuka kwa 94% kutoka 9 millioni kufikia laki 5

Makampuni yanayoongoza kwa idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa ni zifwatazo:
CRDB ………………………………………..53%
TCC ………………………………………….. 41%
TBL ………………………………………..….4%

Mtaji wa Soko la HISA
Ukubwa wa mtaji wa soko umeshuka kwa 3% kutoka Trilioni 21.49  hadi Trilioni 20.8
Mtaji wa makampuni ya ndani imebaki kwenye kiwango kile kile cha Trilioni 8.13
Viashiria (Indexes)
Sekta ya viwanda (IA), Sekta ya huduma za kibenki na kifedha (BI) na Sekta ya huduma za kibiashara (CS) wiki hii imebaki kama awali

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.