Monday, October 3, 2016

TIGO FIESTA YATIKISA JIJI LA ARUSHA JUMAMOSI HII



Baraka Da Prince na Nandy wakitumbuiza katika jukwaa la Fiesta usiku wa jumamosi katika viwanja vya Amri Sheikh abeid karume Jijini Arusha 
Barnaba akiburudisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Arusha 
Benpol akiwa na Mcheza shoo wake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jumamosi Jijini Arusha 
Mashabiki wakimshangilia Benpol 
Mkali wa Muziki wa Rhumba Christian Bella akiburudisha mashabiki wa muziki katika jukwaa la Tigo Fiesta 
Darasa akionesha umahir kughani katika jukwaa la Tigo fiesta 

Dogo Janja kwa style yake akitumbuiza katika Jukwaa la fiesta Jijini Arusha
Feza Kessy akionesha umahiri wake katika jukwaa la Fiesta jijini Arusha
Jambo SQUAD
Linah naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta jijini Arusha 
Mr Blue 
Vanesa Mdee akiburudisha mashabiki wake katika Jukwaa la Tigo Fiesta
Weusi wakishambulia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa Jumamosi 
Maelfu ya wakazi wa Arusha wakishuhuhida burudani kali toka kwa wasanii waliotumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta.

No comments: