Tigo yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kutoa zawadi kwa wateja wake.Mkuu wa kitengo cha huduma cha wateja Zakheem khan akifurahi pamoja na mteja aliyejipatia zawadi ya simu katika kusherekea wiki ya huduma kwa wateja zilizofanyika katika duka la Tigo  makumbusho mwishoni wa wiki hii
Sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma.
PichanI  ni sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma.
Wafanyakazi wa Tigo wakiwa na zawadi kwa ajili ya wateja katika duka la Makumbusho mapema mwishoni wa wiki hii

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.