Kauli ya waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Afya ya Mbunge wa Vunjo Mh James Mbatia


Mbunge wa Jimbo la vunjo Kupitia Tiketi ya chama cha NCCR Mageuzi chini ya mwamvuli wa UKAWA Mh James Fransis Mbatia anaendelea kuimarika afya yake baada ya kutibiwa Mguu nje ya nchi na kurejea Nchini.Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Mh Mwigulu Nchemba amepata nafasi ya Kumtembelea Mbunge mwenzake na hii ndio Kauli yake aliyoipost katika mtandao wake wa Twitter Muda mfupi uliopita 
mtembelea kaka yangu Mh. James Mbatia(Mb),ashukuriwe mungu kwa kuendelea kusimamia afya yake inazidi kuimarika.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.