MBOWE AIBUKIA BUNGE LA UINGEREZA

Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwa mbele ya Bunge la Uingereza jana tarehe 5/12/2016 alipokuwa kwa ajili ya kukutana na Wabunge na Viongozi mbalimbali Nchini Uingereza . kulia kwake ni John Mrema Mkurugenzi wa Mawasiliana, Uenezi na Mambo ya Nje 

Ziara ya Mhe. Freeman Mbowe itachukua Siku 14 katika Nchi mbalimbali za Jumuiya ya Ulaya

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.