Picha mazoezi ya leo Azam FC

Mazoezi ya kwanza ya wiki ya kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya African Lyon, utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.