TUKO PAMOJA BABA--TIZAMA WATOTO WA LEMA WALICHOKIFANYA JANA MAHAKAMANI


Watoto  na mke wa MBUNGE WA ARUSHA Mjini Mh  GODBLES LEMA wakimuaga Baba yao jana wakati jaribio lake la kutafuta dhamana kwa kesi inayomkabili kugonga mwamba ambapo alirejeshwa Rumande hadi mwakani mwezi wa Pili.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.