MBOWE NA LISSU KUTUA KISONGO ALIPO LEMA JUMAMOSI


Mwenyekiti wa chama cha democrasia na maendeleo chadema  Mh Freman Mbowe Pamoja na Mbunge wa chadema na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Mh Tundu Lissu wanataraji kumtembelea Mbunge wa Chama chao Mbunge wa Arusha Mh Godbless Lema katika Gereza la Kisongo siku ya Jumamosi alikoshikiliwa kwa Kosa la kudaiwa Kufanya uchochezi,


Akitoa Taarifa fupi Mh Tundu Lissu amesema kuwa wamepanga kumtembelea Mbunge mwenzao na kumjulia hali na baada ya hapo watapata nafasi ya kutoa taarifa fupi kwa wanahabari kuhusu kwenda kwao gerezani hapo

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.