PICHA-MUFT MKUU WA TANZANIA NA SHEIKH MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM WASHIRIKI MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA MTUME MOHAMNAD (s.a.w.w.) JIJINI DAR ES SALAAM


Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubeiry bin Ally (kulia ) akiwa pamoja na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum,katika katika shughuli maalum ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Mohamnad (s.a.w.w) Shughuli iliyofanyika katika msikiti wa Udoe Iliyoandaliwa na taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania Juzi Jijini Dar es salaam.
Mamia ya waislam wakiwa katika shululi hiyo ya  kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Mohamnad (s.a.w.w) Shughuli iliyofanyika katika msikiti wa Udoe Iliyoandaliwa na taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania Juzi Jijini Dar es salaam.Picha nyingine zipo chini zikionyesha viongozi mbalimbali waliohudhuria shughuli hiyo

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.