TIZAMA VUMBI LA ZITTO KABWE LEO

Nimekusogezea Picha Kadhaa ambazo zinamuonyesha Kiongozi  wa chama cha ACT WAZALENDO na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Mh Zitto Kabwe akiwasili katika Uwanja wa Nkome katika kata ya Nkome kwa ajili ya kumuombea Kura Mgombea wa Udiwani wa Kata hiyo KULWA KALUKOLE katika mchakato mzima wa uchaguzi mdogo ambao unaendelea nchi nzima.picha nyingine zipo chini


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.