VIDEO--ACT WAZALENDO WATAKA WATAWALA KUACHIA NGAZI KAMA WAMESHINDWA KUTOA HUDUMA YA CHAKULA KWA WENYE NJAA

Katibu wa Itikadi na uenezi Kutoka chama cha ACT WAZALENDO leo Jijini Dar es salaam amezungumza na wanahabari,Moja kati ya maswala ambayo mtandao huu umenasa ni kauli kuhusu Tishio la njaa nchini Licha ya Rais wa Tanzania jana Kukanusha uwepo wa Njaa nchini---Tizama Video Hii kutoka Katika mkutano huo 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.