Breaking Newz--Sentensi nzito za Gwajima akiwa Kanisani Muda Huu Baada ya kuachiwa janaJana ni siku ambayo Mchungaji wa kanisa la Ufufuo na uzima Josephat Gwajima aliachiwa kutoka polisi alikokuwa ameshikiliwa kwa Tuhuma za kujihusisha na madawa ya kulevya nchini,Baada ya uchgunguzi kubaini hausiki jana ameruhusiwa Kutoka polisi ambapo aliahidi kuwa leo angetoa neon katika ibada yake kaniswani Ubungo,


Mwandhishi wa mtandao huu amepita meneo ya kanisani na kufanikiwa kunasa baada ya maneno ya mchungaji huyo kuhusu sakata hilo,Fwatilia baadhi ya sentensi zake hapa

1.     Kuanzia sasa Mapepo yote yakitolewa kwa watu yaelekezeni kwa aduoi wa kanisa nchini.

2.     Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Paul Makonda hapambani na madawa ya kulevya bali anapambana na majina ya watu ili kuyachafua bla sababu.

3.     Namuomba Rais wa Tanzania atende haki katika hili,kuna polisi wamesingiziwa wako ardhini hawana pa kusemea.

4.     Vita ya madawa iendelee ila ibadili Aproaching yake lakini pia watu wa Yanga wasikubali yanayomkumba mwenyekiti wao

5.     Watu wa Ufufuo na uzima pia msikubali yanayonikuta mimi

6.     Makonda ni kombora ambalo halijajua litatua popote7.     Anayemtukana mjomba siku moja atakuja kumtukana Mama mzazi 

8.Gwajima, atujawahi kuchokoza mtu bali, tumeanza kuchokozwa..
9.Msilaum utendaji wa ofisi ya rais na wala jeshi la polisi...
mi ni daktari kwa falsafa, na pia mwandishi wa vitabu. Mi sio kama wale....
10 Kumshitaki makonda mahakani ni kuishtaki serikali, mi nitakachofanya ni kumshitaki kwa aliyemteua..


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.