Sunday, February 5, 2017

Hawa hapa viongozi wa CCM waliofariki jana kwenye ajali ya gari Rombo


Hawa hapa viongozi wa UVCCM na CCM waliofariki kwenye ajali ya gari jana Rombo:

Anold Swai (M/kiti UVCCM Hai)
Ally Mmbaga(MNEC Same)
Edwin Msele (K/Hamasa Shrk Kilimanjaro)
Anna Malamsha


Post a Comment