Monday, July 10, 2017

DUDE LA ESCROW-WILLIAM NGELEJA AREJESHA PESA ALIZOPEWA


Aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini wakati wa serikali ya awamu nne ikiongozwa na rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na sasa Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amerejesha Tsh 40.4 milioni alizopewa katika mgao wa fedha zilizochotwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow.

No comments: