Sunday, July 9, 2017

HII YA MWANZA HAIJAWAHI KUTOKEA-TIZAMA

Msanii wa RnB, Ben Pol akifanya yake stejini katika Tamasha la Komaa Concert limefanyika jana jijini  Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba.
Mashabiki wa EFM wakiendelea kupata burudani kutoka kwa Ben Pol (hayupo pichani).
Chemical akiwa live kwenye steji.
Mashabiki wakiendelea na shangwe.
Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akifanya yake.
MCs wa tamasha hilo la komaa wakiwa stejini, kulia ni mtangazaji wa kipindi cha Genge TZA au Fido pamoja na Snalisious.
Tamasha la Komaa concert limenyika katika Mkoa wa Mwanza jana  katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuanzia saa 4:00 Asubuhi mpaka jioni, tamasha hilo linatarajiwa pia kufanyika jijini Dar es Salaam tarehe 15/7/2017 katika Uwanja wa Tanganyika Packers uliopo Kawe.
Tamasha hili ni la burudani pamoja na uwezeshaji ambapo zaidi ya wasanii kumi na moja watatumbuiza katika jukwaa moja akiwemo Darasa, Rich mavoko, Ben pol, Ney wa Mitego, Manfongo, Msaga Sumu, Chemical, na wengineo.




No comments: