BURUDANI

MSAMI AMFAGILIA REYVAN WA WCB

Msanii wa Bongo fleva aliyefanya vizuri na nyimbo zake kama Mabawa, Step by Step na nyingine nyingi ambaye apia alishawahi kuwa kwenye kundi la THT anaefahamika kama Msami.

Alisema kuwa yeye alianza kumfahamu Rayvan kwa muda mrefu na kipindi hicho hata yeye bado kuwa msanii akiwa Coordinator wa wasanii kwenye tamasha la Fiesta aliona kipindi hicho alivyokuwa na bidii na juhudi za kuhitaji kuwa msanii mkubwa.

“Rayvan kweli alijitoa na alikuwa akifight kwa hali na mali kukipata kile alichokitaka na kama unavyojua kwenye nia pana njia na hivi sasa katuwakilisha kwenye tuzo za BET ikiwa ni msanii pekee toka afrika mashariki kuchukua tuzo kwa mwaka huu” alisema msami

Kwa hiyo napenda kumpongeza kwa kuchukua toza hiyo lakini pia namuombea mungu azidi kumjalia afike mbali zaidi kimuziki.


Alisema hayo msami alipokuwa akihojiwa kupitia kipindi cha Weekend Chat Show(SHILAWADU) kinachorushwa na Clouds Tv pamoja  Choice fm jana ijumaa ya tarehe 7 mwezi wa 7.

About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.