Wednesday, July 12, 2017

Mshindi wa wiki Droo ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi akabidhiwa zawadi yake jijini Mbeya leo

Mkurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akifungua   simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= na pembeni yake ni mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa mapema jana.

kurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akimkabidhi  simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa.

Wakazi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia makabibidhiano hayo mapema jana.

No comments: