BURUDANI

PICHA 3 - HARMONIZE AKITAMBA NA MREMBO WAKE WA KIZUNGU

Muimbai huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Birthday weekend hii alishare picha mtandaoni akiwa na mrembo wake huyo akicheza pool table mbele ya nyumba ya kifahari.
Moja kati ya picha hizo aliacha wazi uwanja wa kutuma komenti lakini alivyoona komenti nyingi zimekuwa mbaya kwa mpenzi wake huyo aliamu kuongeza kupost picha nyingine na kufunga sehemu ya kuweka komenti.
Mwezi mmoja uliopita muimbaji huyo alitoa taarifa kwamba mpenzi wake huyo kwa sasa ni mjamzito.

About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.