TANZIA

PIGO TASNIA YA HABARI NA UTANGAZAJI TANZANIA,MTANGAZAJI WA E-FM AAGA DUNIAKituo cha Radio cha EFM Kimedhibitisha kifo cha Mtangazaji wao Bikira wa Kisukuma.....

From @efmtanzania - Kwa masikitoko makubwa E FM inapenda kuwajulisha kuwa mwenzetu Seth Katende maarufu" Bikira wa kisukuma"amefariki dunia Leo mchana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.Seth atakumbukwa sana kwa ucheshi wake kupitia kipindi cha Ubaoni alichokua akiendesha sambamba na Imma Kapanga na Mpoki au "mwarabu wa Dubai".Msiba upo nyumbani kwa baba yake mzazi Changanyikeni Dar es salaam.Endelea kupitia kurasa zetu na kusikiliza Efm na TVE kwa taarifa zaidi.Mungua ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.