SIASA

SPIKA WA BUNGE APOKEA BARUA KUTOKA KWA LIPUMBA YA KUWAVUA UWANACHAMA WABUNGE 10 WA CUF


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Job Ndugai amepokea Barua ya Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba ya kuhusu kutengua ubunge wa wabunge kumi wa chama hicho.About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.