Monday, August 21, 2017

DR. MAGUFULI KUMTEUA BRIGEDIA JENERALI MBUNGO KUWA NAIBU MKURUGENZI TAKUKURU.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU).



No comments: