BURUDANI

MAMA WA MITINDO KUONYESHA MAVAZI YAKE JUKWAANI USA 4-5/8/2017

Inawezekana kuna watu ambao hawajui umuhimu wa Fashion, kumbuka Fashion ni kitu muhimu sana kwa sababu bila Fashion tusinge weza kwenda na wakati kimavazi, hivyo tunapaswa kuwapongeza sana wanamitindo ambao wanaendelea kutuletea mitindi mipya na mizuri ya mavazi Tanzania.

Sasa basi kwa umahiri wake Mma wa mitindo, ambaye ni mkombozi wa Designers wengi hapa Tanznaia, Designer maarufu kama Asya Khamsin Kesho Ijumaa na Jumamosi 5/8/2017 atakuwa kwenye jukwaa akionyesha mitindo yake Washington DC USA, katika tukio la Kenya Reunion mjini Maryland.

Kwako mdau wa mitindo na Fashion, huu ni wakati wako kuendelea  kuonyesha upendo kwenye Tasniya ya hii ili tuzidi kutambulika kimataifa zaidi na mavazi yetu ya Africa.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.