HABARI ZA KIJAMII

PICHA 4 ZA MAZISHI YA BILLIONEA MALEU MREMA

Siku ya jana ambayo ilikuwa ni mazishi ya Bilionea, Maleu Mrema aliyezikwa huko mkoani Arusha kwenye hoteli yake ya Ngurundoto na kuudhuriwa na viongozi wengi wakubwa kama Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na wengine wengi.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kulia akisalimiana na waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mh. Edward Lowassa walipokutana kwenye mazishi ya Bilionea Maleu Mrema jana jijini Arusha.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Bilionea Mrema aliyezikwa jana Hotlini kwake Ngurundoto jijini Arusha 
Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Edward Lowassa akiwa na mkewe mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Bilionea Mrema mapema jana jijini Arusha
About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.