Tuesday, August 8, 2017

SIMBA YAWATAMBULISHA WACHEZAJI WAKE KWA MASHABIKI KWENYE SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA

Haruna Niyonzima Akitambulishwa Mbele ya Mashabiki wa Simba kwenye Tamasha la Simba Day Linaloendelea Uwanja wa Taifa Muda Huu
 Gyan
 Okwi
 Kocha Mkuu Omong
 Jackson Mayanja
 Manara
 Msemaji wa Simba Haji manara Akiwatambulisha Nahodha Msaidizi Mohamed Husein kwa Mashabiki wa Simba Akiwa Sambamba na Nahodha wa Timu hiyo Mwanjali

No comments: