BURUDANI

VIDEO MPYA YA KCEE WIMBO UNAITWA VANESSA

Msanii wa Nigeria aliyefanya vizuri Afrika na vibao vyake kama Pull over, Boat aliyomshirikisha Diamond Platnumz na Tender aliyofanya na Tekno na kwa sasa KCEE amekuja na wimbo wake mpya unaoitwa Vanessa.

Audio imefanywa na  Five Star Music ambayo ni Record Label inayomsimamia kazi zake nyingi na inamfanya aendelee kuwepo kwenye tasnia ya music baran Afrika.
                                   CLICK HAPA KUANGALIA VIDEO>>>>


About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.