Tuesday, December 12, 2017

VIDEO - ANGALIA HAPA KATA YA KIPUNGUNI ILIVYOADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Wakazi mbalimbali wa Kata ya Kipunguni wakishikila mabango yenye jumbe mbalimbali yenye lengo la kupinga ukatili wa kijinsia kwa watoto wa kike na wakina mama, katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.

                    

No comments: