Friday, February 16, 2018

KAULI ZA ZARI BAADA YA KUMWAGANA NA DIAMOND PLATNUMZ

Picha inayohusiana
Baada ya muda mfupi tangu Zari The Bosslady ambaye ni raia wa nchi ya Uganda kutangaza kuachana na Diamond, mrembo huyo ameibuka na ujumbe mpya ambao unaonekana kama ametupa jiwe gizani.
Kupitia mtandao wa Instagram leo (Ijumaa), mrembo huyo amepost picha mbili zenye ujumbe tofauti. Katiaka picha ya kwanza hiyo hapo juu ambayo ameiweka kwenye mtandao huo, Zari ameandika, “Consistency is key #Mompreuer.”
Na picha ya pili aliweka Wakati huo  mrembo  huyo akiwa ameandika, “Me when people ask what I do…. whatever it takes👌.”

No comments: