BURUDANI::RIHANNA NA CHRIS BROWN WARIDHIA KUFUNGA NDOA JULY MWAKA 2013jarida maarufu (Star Magazine) limeripoti kwamba mastaa wa muziki Chris Brown na Rihanna wanampango wa kufunga ndoa mwishoni mwa July 2013 nyumbani kwa kina Rihanna
huko Barbados.
  Jarida hili limeendelea kutiririka kwamba kwenye ndoa hiyo wamepanga kusherehekea na watu mbalimbali wakiwemo wanaoamini kwamba Chris Brown amebadilika kitabia.
  Ni harusi ambayo watu wote walioalikwa watakua wamesimama na wahudumu watakuepo kumfata kila mtu alipo, pia wale wachoraji wa tattoo watakuepo pia.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.