| Mkutano ukiendelea. |
Showing posts with label HABARI24 TV. Show all posts
Showing posts with label HABARI24 TV. Show all posts
Thursday, March 29, 2018
WARAMI - MAASKOFU MSIKUBALI KUTUMIWA NA WANASIASA
Monday, March 19, 2018
Friday, March 9, 2018
LHRC WAIJIBU TUME YA UCHAGUZI KWA TUHUMA WALIZOZITOA DHIDI YAO
Sunday, March 4, 2018
HISTORIA YA UMMY ALIVYOPATA TABU KABLA YA KUWA WAZIRI WA AFYA
Wednesday, January 24, 2018
Tuesday, August 29, 2017
LHRC + LISSU KUWASHA MOTO LEO ANGALIA VIDEO HII...
Kituo cha Sharia na Haki za Binadamu kikishirikiana na Chama
cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) pamoja na mtandao wa haki za binadamu THRDC,
TANLAP na WiLDAF kwa pamoja wameungana kukemea vikali tukio la kuvamiwa na
kulipuliwa kwa mabomu ofisi ya mawakili ya IMMA tukio lililotokea usiku wa
kuamkia tarehe 26 mwezi agosti 2017 jijini Dar es salaam.
Kutokana na kutokea tukio hilo na mengi ya
kujaribu kuuminya uhuru wa wanasheria katika kutimiza majukumu yao kituo cha sharia
na mashirika rafiki wameroa maazimio yafuatayo..
ANGALIA VIDEO HII..
cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) pamoja na mtandao wa haki za binadamu THRDC,
TANLAP na WiLDAF kwa pamoja wameungana kukemea vikali tukio la kuvamiwa na
kulipuliwa kwa mabomu ofisi ya mawakili ya IMMA tukio lililotokea usiku wa
kuamkia tarehe 26 mwezi agosti 2017 jijini Dar es salaam.
kujaribu kuuminya uhuru wa wanasheria katika kutimiza majukumu yao kituo cha sharia
na mashirika rafiki wameroa maazimio yafuatayo..
ANGALIA VIDEO HII..
Saturday, June 17, 2017
VIDEO - SIKU YA MTOTO WA AFRIKA ACT WAZALENDO WATOA MISAADA KWA KITUO CHA "CHILD...
Siku ya mtoto wa afrika chama cha ACT Wazalendo kimeadhimisha kwa kutoa misaada kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wa kituo cha Child in the Sun kilichopo Mbezi Makabe jijini Dar es salaam. Akiongea kwa niaba ya chama hicho katibu wa kamati ya Maendeleo ya Jamii Taifa ya chama hicho Bi. Edna Sunga. ,,
CLICK HAPA KUJUA ALICHOKIONGEA..
Thursday, June 15, 2017
VIDEO SHEIKH JALALA KUISAIDIA PALESTINA ANGALIA HAPA
kiongozi
mkuu wa Shia Ithuasheriya Tanzania Sheikh Hemed Jalala alisema Parestina wanahitaji msaada wa hali na mali kwani sio Waislamu wala Wakristo wanaishi pale kwa amani na furaha hivyo basi inatupasa kupaza sauti zetu kwa pamoja kuwasaidia watu hawa.
VIDEO MKUU WA WILAYA YA ILALA SOPHIA MJEMA AWAONGOZA MAMIA YA WANANCHI WA DAR ...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema amewaongoza mamia ya Watanzania kuchangia damu. Ameeleza kwa kina faida za kuchangia damu na amewaomba watanzania wote kujitolea kwa wahitaji "damu ni uhai na inatulazimu kufanya hivi ili kuweza kuwasaidia ndugu zetu wenye mahitaji haya" alisema ..
| Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema akiongea na waandishi wa habari mapema jana viwanja vya Karume jijini Dar es salaam |
ANGALIA VIDEO HII KUFAHAMU ZAIDI
Monday, May 22, 2017
VIDEO-LHRC WAWAPA POLISI MBINU ZA KUPAMBANA NA WAUAJI WA KIBITI
Kituo cha sheria na haki za binadamu leo kimetoa tamko kuhusu mauji yaliyopamba moto nchi ambayo yana wahusisha polisi na raia.
Tazama Kaimu Mkurugenzi wa kituo hicho Bi Anna Henga akifafanua video
Thursday, May 4, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)


