LINEX AFANYA KWELI AMVISHA PETE DEMU WA KIDHUNGU.JIONEE PICHA ZAKE NA PETE YAKE                 Weekend hii, mtu mzima Sunday Mjeda aka Linex aka Mr VOA (Voice Of Africa),
              alifanya yake kwa kumvisha pete mpenzi wake, ambae ni  ambae ni  mwenyeji wa Finland anaeitwa Suvi.
             Linex aliamua kufanya kimya kimya tena wakiwa wawili tu,
 kwasababu hakutaka kujionyesha, na anaamini ile ni kitu
very personal haikuhitaji manjonjo mengi...all in all This is Diamond hii
inakutakia kila la kheri...!!

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.