
Alama hii inapendwa kutumiwa sana na wengi wa watu hasa vijana lakini pia wazee, na wanatumia kwa kuiga na pasipo kujua kwamba ni alama ya Kishetani.

Alama nyingine wakati wa kusalimiana kwa kushikana mikono

Hii ni alama kuu ya Kifreemason

Alama nyingine

Hata hii pia
KWA HISANI YA MAASINDA BLOg
No comments:
Post a Comment