Friday, March 1, 2013

ULINZI FERI WAIMARIKA



Serikali kupitia wizara ya ujenzi kwa kushirikiana na wakala wa ufundi TAMESA wametia saini mkataba wa makubaliano ya ujenzi wa kivuko kipya cha kahunda masome

 Akizunumza wakati wa hafla hiyo ya kutia saini mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya TAMESA dacta IDRISA MSORO amesema kutokana na na matakwa ya mkataba huo kivuko cha kaunda masome kitajengwa kwa viwango vinavyokubalika kimataifa

 Aidha Docta MSORO ameongeza kuwa wakala wa ufundi na umeme TAMESA  watahakikisha kuwa wanasimamia na kutekeleza kwa kiwango cha juu kabisa cha weledi na maadili katika kuhakikisha kivuko hicho kinakamilika ndani ya muda ulioainishwa.

 Kivuko hicho kinachotarajiwa kugharimu pesa za kitanzania takribani 1,888,000,000.00 kinatarajiwa kukamilika baada ya miezi kumi ijayo

 

/LN                        REPORTING

 

No comments: