Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa Khanga na wasamaria wema katika fukwe za Coco Beach.

mtu huyo alikutwa amekufa maji jana bila kujua chanzo cha kifo chake.mungu ailaze mahali pema peponi