.

ALIYEKUWA NA NGWEAR KUMBE HAJAFA,DAKTARI ATHIBITISHA HALI YA M2THEP KUENDELEA VIZURI NA KUWA ANAONGEA KWA SASA


              habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizurin, na anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa hospitali hapo bado unaoendelea 

        mapema leo habari zilisambaa katiaka mitandao mbalimbali kuwa msanii huyo naye amefariki dunia na hadi kituo kimoja cha radio kutangaza kifo hicho lakini hakukuwa na myu wa uhakika aliyedhibitisha hilo.habari ambazo pia tumezipata kutoka kwa mtangazaji milad ayyo aliyepo huko africa ya kusini zinasema kuwa msanii huyo bado ni mzima na anaendelea na matibabu

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.