Thursday, May 2, 2013

SIMBA MTOTO AGONGA BODABODA.

HABARI NA MASAI NYOTAMBOFU













Basi hilo lenye namba za usajili .T57.5 BLN Leo majira ya saa  7:45AM liligonga pikipiki ya idara ya maji maeneo ya Mkwakwani Jijini TANGA wakati likielekea Dar es salaam hatimae safari kugailishwa na kuelekea kituo cha polisi mabawa baada ya hapo ndipo safari ya dar ikaanza. kwakweli abiri walikerekwa na swala hilo japo ni bahati mbaya halikua kusudio la dereva.










Tairi la pikipiki iliyonusurika kurudi lilipo tengenezwa










Trafiki wakipima ajali










Gari likikaguliwa kabla ya kuanza safiri





















Piki piki Ikichukuliwa na Idara ya kupelekwa Garage.
















Kulia ni dereva wa basi hilo na konda wake











Trafiki wakisaidiana kupandisha pikipiki ya Idara ya maji. kwenye Gari












Hizi ndio namba za Basi liligonga piki piki











Picha na mwandishi wa masainyotambofu.blogspot.com

No comments: