Saturday, June 22, 2013

BREAKING NEWS---MAJONZI TENA :MAMA MZAZI WA MWANAMZIKI BARNABA AFARIKI DUNIA



Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mama mzazi wa 
mwanamziki Barnaba amefariki dunia
bado haijaelezwa chanzo cha kifo hicho..HABARI 24  inaendelea
 kufuatilia na tutakujulisha chochote kitakachoendelea....

No comments: