.

KAMISHNA KOVA AENDELEA KULISAFISHA JIJI,DHAHABU FEKI,BUNDUKI,BASTOLA VYAKAMATWA

BAADHI YA PEMBE ZA NDOVU AMBAZO ZIMEKAMATWA NA POLISI DAR


HIZI NI PESA HALALI ZAIDI YA MILIONI 15 AMBAZO POLISI WALITAKA KUPEWA RUSHWA WAKAZIKATAA NA KUZIRIPOT POLISI NA KWA DESTURI YA POLISI UKIKATAA PESA ZA RUSHWA UNAPEWA PESA HALALI NA JESHI LA POLISI KIASI HICHO HICHO ULICHOKATAAA


DHAHABU FEKI AMBAYO ILITAKA KUUZIWA WATU KWA HELA NYINGI.KOVA AMEWAASA WATU KUACHA KUNUNUA DHAHABU HIYO KWANI NI FEKI NA WANAIBIWA

KAMISHNA KOVA AKIONYESHA ZILE PESA AMBAZO POLISI WALIPEWA KAMA RUSHWA NA KUZIKATAA NA KUZIRIPOTI POLISI

KAMISHNA KOVA AKIONYESHA ZILE DHAHABU FEKI

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.