Monday, June 3, 2013

PICHA 4:MWILI WA ALBERT MANGWEHA WAANZA KUAGWA NCHINI SOUTH AFRICA


Muda huu wa saa kumi na Mbili kwa saa za Afrika masharikikwa saa za South Africa nisaa kumi na Moja jioni.....tukiwa bado tupo kwenye majonzimakubwa yakupotelewa na ndugu yetuAlbert Mangweha.....Baada ya ratiba kupangika watanzaniawaishio nchini South Africawamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho...wakiongozwa na MsaniiBushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru,Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini South Africa


ZIFUATAZO NI PICHA 4 WATANZANIA WAISHIO SOUTH
 AFRICA WAKIAGA MWILI WA
ALBERT MANGWEHA:
                           Shugli ya kuaga mwili ikiendelea muda huu nchini South Africa.....
                        Kinjeketile katikati akiwa na watanzania waishio nchini South Africa...
                 Msanii Bushoke kushoto, Moja ya watu walioko bega kwa bega
                  kusimamia mipango ya kuaga mwili
                                                          nchini South Africa....

No comments: