Saturday, June 1, 2013

samahani kwa picha hiziMAAJABU DAR--- KIBAKA AIBA BEGI LEO APIGWA ACHOMWA MOTO.

kwa ushirikiano wa masai nyotambofu
  Jamaa huyu asie na roho ya huruma akimmalizia mtuhumiwa na bonge la tofali! Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana baada ya kibaka huyu kubahatika kukuta raia mwema kasahau kufunga mlango, Kibaka akazama ndani na kuchukua begi languo taratiiibu kama lake! Hakuridhika na begi alivyotazama pembeni akaona simu akaihifadhi mfukoni kiaina! Ile kutokanje tu akakutana na wenye nyumba uso kwa uso!!! Hapo ndipo mbio za marathon zilipoanza!!!!! Watu mwiziii mwiziiii mwiziiiiii mwiziiiiiiiiii!!!!! Jamaa akabahtika kujisweka kwenye jumba bovu lililoko uchochoroni na kuinusuru roho yake, Raia wenye hasira kali hawakumuona wakapita, Kufika mbele kidogo wakajadiliana na kukata tamaa wakati wakirudi majumbani kwao mara ghafla! Kurupu! Jamaa akachomoza kwenye dirisha la lile jengo bovu alilojificha, Harakati zikaanza upyaaaaaa!!!!! Aaaa... Anko jambazi hakuchukua raundi akatiwa mikononi... Ndugu msomaji wa habari24 bolog  mambo yalienda kama tunavyoona hapo pichani.
Moto unawaka!
 Tairi limeletwa
 Anko jambazi ameveshwa tairi na kutiwa moto! Izraeli anapiga push up pembeni!!!

Shuhuli imeishia hapo.

No comments: