Wednesday, July 17, 2013

umbea kidogo---ZITO AMTUPIA KOMBORA MEYA WA ARUSHA,AMTAKA AJIUZULU CHADEMA IONGOZE ARUSHA

 
                 BAADA YA VUTA NIKUVUTE YA MEYA WA JIJI LA ARUSHA NA VIONGOZI WA CHADEMA KUMTAKA MEYA HUYO AJIUZULU ILI CHADEMA IONGOZE ARUSHA SASA SAKATA HILO LIMECHUKUA SURA MPYA BAADA YA MBUNGE ZITTO KABWE KUMTOLEA UVIVU NA KUMWAMBIA KUWA WANANCHI WA ARUSHA WANATAKA CHADEMA IONGOZE ARUSHA

                BAADA YA KUMALIZIKA KWA UVHAGUZI WA MADIWANI KWA KATA NNE AMBAZO ZILIKUWA WAZI NA CHADEMA KUFANIKIWA KUZITETEA ZOTE KUMEKUWA NA MZOZO MKUBWA KUWA NI NANI ANASTAHILI UWA MEYA WAJIJI HILO LA ARUSHA 

           MH ZITO KATIKA UKURASA WAKE WA FB MUDA MCHACHE ULIOPITA AMETUMA UJUMBE AMBAO MOJA KWA MOJA NI KWA MEYA HUYO BW GAUDENSIA LYIMO AMBAO UMESOMEKA HIVI--------

           Zitto Kabwe
'Meya' wa Jiji la Arusha Gaudence Lyimo anapaswa kufundishwa misingi ya demokrasia. Baada ya ushindi wa CHADEMA wa kata 4 katika uchaguzi mdogo Ni dhahiri kwamba wananchi wa Arusha wanataka kuongozwa na CHADEMA. Meya hachaguliwi Moja Kwa Moja bali Baraza la madiwani. Hadithi za theluthi mbili hazina mashiko kabisa. Bwana Kayombo jiuzulu upishe CHAMA kinachopendwa na chenye madiwani wengi kiunde Jiji. Amani ya Arusha ipo kwenye msingi huo.

No comments: