jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam limeendelea kutoa shukrani kwa watanzania ambao wanatembea huku wakiwa na idadi kubwa ya fedha kwani ni hatari kwa usalama wa pesa hizo na kwao wenyeweAamesema kwa sasa tanzania kuna baadhi ya njia salama zaidi ambazo zinaweza kutumika kama vile kutumia mitandao ya simu ambayo sasa imekuwa ikitoa huduma za kibenk.utafiti ambao polisi wameufanya ni kuwa watu wengi huvamiwa baada ya kutoka benki wakiwa na hela nyingi
No comments:
Post a Comment