.

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOAMRIWA KURUDIA UDAHILI UPYA KUTOKANA NA KUKOSEA MARA YA KWANZA HAYA HAPA

ZAIDI YA WANAFUNZI 227 WAMEFUTIWA USAILI WAO WA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU NCHINI NA KUTAKIWA KURUDIA UPYA KUFANYA USAHILI KUTOKANA NA MAKOSA MBALIMBALI WAKATI WA KUFANYA ZOEZI HILO

TAARIFA AMBAZO ZIMETOKA WIZARA HUSIKA ZINASEMA KUWA WANAFUNZI HAO WAMESHIINDWA KUTUMIA NJIA YA MITANDAO KWA KUKOSA UELEWA WA SWALA HILO HIVYO WANATAKIWA KUHAKIKISHA WANARUDIA UPYA ILI WAWEZE KUPATA VYUO

MAJINA YA WALIOAMBIWA WARUDIE YANAPATIKANA HAPA
  • BONYEZA HAPA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.