Monday, September 16, 2013

MAFUTA YA UBUYU--TFDA YAPIGILIA MSUMARI WA MWISHO

AFISA UHUUSIANO WA TFDA GAUDENSIA SIMWANZA AKIZUNGUMA NA WANAHABARI LEO KATIKA UKUMBI WA HABARI MAELEZO JIJII DAR ES SALAAM
               Mamlaka ya chakula na dawa leo imesema kuwa mjadala wa matumizi ya mafuta ya ubuyu tayari umefungwa na wizara ya afya huku ikisisitiza kuwa mafuta hayo sio salama kwa mayumizi ya bianadam

          Akizungumza a waandishi wa habari afisa uhusiano wa mamlaka hiyo bi GAUDENSIA SIMWANZA amesema kuwa mafuta hayo yalipita katika vipimo vyote vya mamlaka hiyo na kugundua kuwa mafua hayo ni hatari kwa binadamu hivo hakuna haja ya kuendeleza mjadala huo


No comments: