Monday, September 30, 2013

POLISI DAR YAZINDUA ULINZI SHIRIKISHI NGAZI YA FAMILIA,KOVA AZUNGUMZA,MATEJA ZAIDI YA MIA WA KARIAKOO SASA NI ULINZI SHIRIKISHI


KAMISHNA KOVA AKIKAGUA GWARIDE LA VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI
 jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam kwa kushirikiana na polisi ilala leo limezindua rasmi kampeni yake ya ulinzi shirikishi ngazi ya familia ambapo lengo la kampeni hiyo ni kuhakikisha kuwa hakuna uhaslifu wowote utakaokuwa unafanyika ndani ya familia ikiwemo ukatili mbalimbali.
         
              Akizungumza katika uzinduzi huo kamishna KOVA amesema kuwa mikoa mingine lazima iige kampeni hiyo ili kuhakikisha hakuna ukatiki ndani ya familia.
BAADI YA VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI

KAMANDA WA POLISI WA ILALA MAMA MARIETHA MINANGI AKIMKARIBISHA MGENI RASMI

BURUDANI NAYO ILIKUWA MAHALI PAKE

HUYU NI MOJA KATI YA VIJANA ZAIDI YA MIA MOJA WALIOKUWA MATEJA SASA  WAMEANZA KUWA ULINZI SHIRIKISHI HAPA AKISALIMIANA NA MEZA KUU
           KATIKA NUZINDIZI HUO IMESHUHUDIWA PIA ZAIDI YA MTEJA 100 WAKIJIUNGA NA SWALA HILO NA KUAHIDI KUACHA KABISA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA NA BADALA YAKE WAANZE KULIJENGA TAIFA KWA KUJIUNGA NA ULINZI SHIRIKISHI

KOVA AKIWA NA MKUU WA WILAYA YA ILALA MH RGIMBANA NA WENGINE NI WADAU WA POLISI AMBAO LEO NAO WAMECHANGIA PIKIPIKI 12 KWA AJILI YA ASKARI KUFANYIA KAZI ZAO

AKIWAKABIDHI VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI KUTOKA TARAFA YA KARIAKOO VIFAA AINA YA RUNGU KWA AJILI YA ULINZI WA MALI A WANANCHI

KAMISHNA KOVA AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI HUO ULIOFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM AMBAPO AMESEMA SASA JESHI LA POLIOSI LIMEJIPANGA KUHAKIKISHA KUWA LINATOKOMEZA UHALIFU KATIKA NGAZI ZOTE HASA KATIKA FAMILIA KWA KUTUMIA ULINZI SHIRIKISHI NA POLISI JAMII

No comments: